Kale Ka Usemi kuwa Mapenzi ni Kikohozi
Kamedhiirika Juzi Huko Kenya Baada ya Wapenzi Wawili Kuanza Kunyonyana
Ndimi Ndani ya Matatu ama Dala Dala Bila Kuona Aibu Kuwa kuna Watu
wanawaangalia , Abiria Walibaki na Mshangao tu na kubaki wakishuuhudia
sinema ya bure huku wengine wakipiga picha na kuzituma kwenye mitandao
ya kijamiii....
No comments:
Post a Comment